-
READ MORE
Chanjo za ugonjwa hatari wa Mpox zinatarajiwa kuwasili katika bara la Afrika hivi karibuni. Kwa mujibu wa taarifa, chanjo hizo zimepatikana katika sehemu nyingine za dunia. Awali, dozi 10,000 zilitolewa na Marekani na zitatumika kukabiliana na aina mpya ya virusi hivyo. Hadi sasa, kuna mataifa ambayo yameathirika na serikali imewahimiza wahasiriwa kufwata mwongozo wanaopewa na […]
-
READ MORE
Si mara moja utaskia kuhusu vifo au hata mateso wanayopitia waumini kwa shinikizo la viongozi wao wa kidini. Watoto na akina mama huishia kuaga dunia na kuwawacha wapendwa wao na machungu tele. Lakini ni nini hasa huwafunga watu hawa macho kiasi cha kuteseka hadi kufa? Ibuka FM itayazamia haya yote…
-
READ MORE
Tangu kuzinduliwa kwa tovuti ya www.radioibukalive.com, Kituo hiki cha redio kinaendelea kupata umaarufu na wingi wa ufwasi hasa kutokana na vipindi na makala yake ya kipekee. Katika tovuti ya kituo hiki cha redio, uratibu wa makala na vipindi umelenga masuala ibuka. Yaani mambo ambayo wanajamii wanakumbana nayo kila siku. Kwa mfano, wengi wameipenda sehemu ya […]
-
READ MORE
Tangu jadi, tovuti nyingi ambazo zimekuwepo zimekuwa zikiangazia masuala ya watu maarufu ‘aka’ Celebrities, porojo za siasa pamoja na mambo mengine ya kutisha tu. Ni dhahiri kuwa wanafunzi wamekuwa na upweke na wakati mwingine kujikuta pia wanayasoma tu mambo hayo, waangue kicheko au kilio, si hoja kwa mwandishi. Wengi wa wanafunzi hawa wamekuwa na kiu […]
-
READ MORE
Iwapo utamuuliza yeyote kuhusu safari yake ya kimaisha huenda akasita! Asikupe jibu la moja kwa moja labda kutokana na pandashuka alizozipitia au matatizo anayoyapitia. Hata wengine huzidiwa na hisia na kuanza kulia. Katika makala ya ‘STORI’ yangu na kituo cha redio cha Ibuka fm, Rita Amalemba { Mzaliwa wa maeneo ya magharibi ya Kenya alisimulia […]
-
READ MORE
Sasa hivi mtoto mwenye umri mdogo mno anaweza kuwa milionea huku wewe uking’ang’ana kwa kuwekeza hapa na pale. Walimu wa kingereza na Kiswahili hujitolea kwa jino na ukucha kuwasukuma wanafunzi kuandika insha aghalabu ukurasa mmoja na nusu. Kunao ambao husimulia kisa kwa ubunifu wa aina yake, na kunao ambao hushindwa kabisa kubuni kisa. iwapo insha […]
-
READ MORE
Japo kizazi cha sasa kinalaumiwa kwa kuwa na utovu wa nidhamu, wazazi wa sasa pia wanachangia. Ni wakati huu tu ambapo wavyele watashikana mashati, kuraruana marinda na kurushiana makonde eti kwa sababu mtoto amerekebishwa na mtu asiye mama yake au baba yake. Jambo hili huwafanya watoto hawa kufura vichwa. Wengi wao huishia kutoambilika, kukanyika wala […]