Si mara moja utaskia kuhusu vifo au hata mateso wanayopitia waumini kwa shinikizo la viongozi wao wa kidini. Watoto na akina mama huishia kuaga dunia na kuwawacha wapendwa wao na machungu tele. Lakini ni nini hasa huwafunga watu hawa macho kiasi cha kuteseka hadi kufa? Ibuka FM itayazamia haya yote…

Summary
MISINGI YA DINI
Article Name
MISINGI YA DINI
Description
Wengi wanaojikuta katika mitego ya itikadi kali za kidini ni wale ambao huenda hawakupokea mafunzo na viongozi halisi wa kidini au hata kujisomea wenyewe ili waelewe na kutofautisha kondoo na mbwa mwitu.
Author
Publisher Name
www.radioibukalive.com
Publisher Logo

Leave a Reply