Hadi sasa, Millicent Ayuwa áka’ Dem wa FB amepata umaarufu mkubwa Kenya, Lingua Franka Afrika mashariki na kuangaziwa katika vyombo vya habari duniani.
Summary
Article Name
NYOTA YA DEM WA B
Description
Wanaomwona sasa watadhani kazaliwa na umaarufu alio nao kwa sasa. Ila, kwa waliomwona kitambo, watakiri kuwa mvumilivu hula mbivu na bidii hulipa. Millicent Ayuwa alizaliwa mnamo mwaka wa elfu moja kenda mia tisini na mbili. Alikuwa binti aliyekuwa na ari katika sekta ya sanaa kitengo cha uchekeshaji tangu utotoni. Nyota yake ilionekana wakati aliutumbuiza umati kule kakamega 'Churchilshow Audition ambapo aliwavunja Otoyo na Mulamwa mbavu. Japo hawakumshika mkono alivyodhani, Oga Obinna amemvusha na sasa anang'aa!
Author
Daudi Wa Nyongesa~Mhariri mkuu Ibuka FM
Publisher Name
Ibuka FM
Publisher Logo