-
READ MORE
FASIHI MAANA YA FASIHI Fasihi ni Sanaa ambayo hutumia lugha ya kiufundi kuwasilisha ujumbe au kusimulia visa. Tanzu za fasihi ni mbili: Ushairi andishi-hutumia lugha ya mkato na mnato ili kuwasilisha ujumbe kwa hadhira lengwa Ushairi simulizi-huhifadhiwa akilini BAADHI YA TOFAUTI KATI YA FASIHI SIMULIZI NA ANDISHI FASIHI INA UMUHIMU GANI HASA? Dhima ya fasihi […]
-
READ MORE
Hadi sasa, Millicent Ayuwa áka’ Dem wa FB amepata umaarufu mkubwa Kenya, Lingua Franka Afrika mashariki na kuangaziwa katika vyombo vya habari duniani.
-
READ MORE
C.B.C Children are the most lucky learners who can just turn their creativity and skills to income generation and brand development. Remember, Anyone can have a superb, weird or rather a wonderful idea but very few turn their dreams to concrete reality. But why? Most Probably, you have heard of kids aged 10 years got […]
-
READ MORE
Chanjo za ugonjwa hatari wa Mpox zinatarajiwa kuwasili katika bara la Afrika hivi karibuni. Kwa mujibu wa taarifa, chanjo hizo zimepatikana katika sehemu nyingine za dunia. Awali, dozi 10,000 zilitolewa na Marekani na zitatumika kukabiliana na aina mpya ya virusi hivyo. Hadi sasa, kuna mataifa ambayo yameathirika na serikali imewahimiza wahasiriwa kufwata mwongozo wanaopewa na […]
-
READ MORE
Si mara moja utaskia kuhusu vifo au hata mateso wanayopitia waumini kwa shinikizo la viongozi wao wa kidini. Watoto na akina mama huishia kuaga dunia na kuwawacha wapendwa wao na machungu tele. Lakini ni nini hasa huwafunga watu hawa macho kiasi cha kuteseka hadi kufa? Ibuka FM itayazamia haya yote…
-
READ MORE
Tangu kuzinduliwa kwa tovuti ya www.radioibukalive.com, Kituo hiki cha redio kinaendelea kupata umaarufu na wingi wa ufwasi hasa kutokana na vipindi na makala yake ya kipekee. Katika tovuti ya kituo hiki cha redio, uratibu wa makala na vipindi umelenga masuala ibuka. Yaani mambo ambayo wanajamii wanakumbana nayo kila siku. Kwa mfano, wengi wameipenda sehemu ya […]
-
READ MORE
Tangu jadi, tovuti nyingi ambazo zimekuwepo zimekuwa zikiangazia masuala ya watu maarufu ‘aka’ Celebrities, porojo za siasa pamoja na mambo mengine ya kutisha tu. Ni dhahiri kuwa wanafunzi wamekuwa na upweke na wakati mwingine kujikuta pia wanayasoma tu mambo hayo, waangue kicheko au kilio, si hoja kwa mwandishi. Wengi wa wanafunzi hawa wamekuwa na kiu […]