-
READ MORE
Iwapo utamuuliza yeyote kuhusu safari yake ya kimaisha huenda akasita! Asikupe jibu la moja kwa moja labda kutokana na pandashuka alizozipitia au matatizo anayoyapitia. Hata wengine huzidiwa na hisia na kuanza kulia. Katika makala ya ‘STORI’ yangu na kituo cha redio cha Ibuka fm, Rita Amalemba { Mzaliwa wa maeneo ya magharibi ya Kenya alisimulia […]
-
READ MORE
Sasa hivi mtoto mwenye umri mdogo mno anaweza kuwa milionea huku wewe uking’ang’ana kwa kuwekeza hapa na pale. Walimu wa kingereza na Kiswahili hujitolea kwa jino na ukucha kuwasukuma wanafunzi kuandika insha aghalabu ukurasa mmoja na nusu. Kunao ambao husimulia kisa kwa ubunifu wa aina yake, na kunao ambao hushindwa kabisa kubuni kisa. iwapo insha […]
-
READ MORE
Japo kizazi cha sasa kinalaumiwa kwa kuwa na utovu wa nidhamu, wazazi wa sasa pia wanachangia. Ni wakati huu tu ambapo wavyele watashikana mashati, kuraruana marinda na kurushiana makonde eti kwa sababu mtoto amerekebishwa na mtu asiye mama yake au baba yake. Jambo hili huwafanya watoto hawa kufura vichwa. Wengi wao huishia kutoambilika, kukanyika wala […]