-
READ MORE
Japo kizazi cha sasa kinalaumiwa kwa kuwa na utovu wa nidhamu, wazazi wa sasa pia wanachangia. Ni wakati huu tu ambapo wavyele watashikana mashati, kuraruana marinda na kurushiana makonde eti kwa sababu mtoto amerekebishwa na mtu asiye mama yake au baba yake. Jambo hili huwafanya watoto hawa kufura vichwa. Wengi wao huishia kutoambilika, kukanyika wala […]