-
READ MORE
Mnamo tarehe 14 Januari 2024, Rita Waeni mwenye umri wa miaka 20 aliuawa na kukatwa vipande vipande kwenye Airbnb jijini Nairobi, Kenya. Alikuwa mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Jomo Kenyatta. Mwanapatholojia wa serikali aliyeendesha uchunguzi wa maiti alirekodiwa akisema hajawahi kushuhudia mauaji ya kutisha kama ya Waeni katika maisha yake yote.Waeni […]
-
DARASANI / DINI / MAHUSIANO / MAKALA / MALEZI / MJADALA / SIASA / SIMULIZI / SPOTI / USHUHUDA / VIPAJI VYETU / YANAYOJIRI September 6, 2024
READ MOREJapo vipo vituo vingi vya redio duniani, Ibuka FM ni kituo cha redio ambacho kauli mbiu yake ni ya kipekee. Ni redio ambayo malengo yake si ufwasi tu bali kuelimisha na kuwafungua macho wapenzi wasikilizaji na wasomaji wa makala kwenye tovuti yake ya www.radioibukalive.com. Miongoni mwa mashabiki hawa shakiki, wanafunzi wamepewa kipaumbele kwani ni hapa […]